TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI: MAUWAJI YA KINYAMA YATOKEA KAHAMA


Tukio hilo lilitokea katika kijiji cha BUSULWANGILI (W) Kahama (M) Shinyanga jana saa 19:00 nyumbani kwake na watu wasiojulikana ambao pia wale watu walijeruhiwa mume wa mwanamke juu ya kichwa na mapanga .... Marehemu Bi Tabu Tema, miaka 33 mkazi wao mji wa BUSULWANGILI (W)
Kahama (M) Shinyanga

0 comments:

Copyright © 2012 KARINGA NEWS Tz