Bob Junior adai kutosikilizwa na vyombo vya dola pale anaposhtaki udhalilishaji anaofanyiwa na magazeti ya udaku



bob6

0 comments:

'BABU SEYA, PAPII LAZIMA WATAACHIWA HURU'




NGUZA Mbangu, mtoto mkubwa wa mwanamuziki mahiri wa muziki wa dansi anayetumikia kifungo cha maisha jela, Nguza Viking maarufu kama Babu Seya, amesema mzazi wake pamoja na mdogo wake, Papii, ni lazima wataachiwa huru hivi karibuni.

0 comments:

Hii Ndiyo List Ya Viongozi Ambao Watahudhuria Memorial Ya Nelson Mandela


 
JijiniJohannesburg siku ya Jumatatu uwongozi wa nchi ya South Africa ulitoa list kamili ya viongozi watakao hudhuria memorial service ya Rais wa zamani wa South Africa, Nelson Mandela. Katika list hiyo watukuwepo viongozi mbalimbali ikiwamo viongozi wa nchi za kifalme, kidini na pia nchi za uongozi wa kawaida(urais), pamoja na wageni wenye majina makubwa kama Oprah Winfrey, businessman Richard Branson na model Naomi Campbell..

0 comments:

BREAKING NEWSSSS .. MAANDAMANO MAKUBWA YA KUMPINGA DK. SLAA NA KUPINGA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA YANAFANYIKA KIGOMA

Leka dutigite muda huu.

Wanachama na wafuasi wa Chadema wakiandamana katika mitaa mbalimbali ya kigoma ili kupinga ziara ya Katibu Mkuu wa chama hicho.

0 comments:

WEMA SEPETU AHUKUMIWA KWENDA JELA MIEZI MITATU AMA KULIPA FINE






Ile kesi ya kumpiga na kumtukana matusi ya nguoni Meneja wa Hoteli ya Mediteranian iliyopo Kawe
Beach, Dar, Godlucky Kayombo iliyokuwa ikimkabili Wema Sepetu imetolewa hukumu yake baada ya Wema kuomba iharakishwe kwakuwa alikuwa anasafari.

0 comments:

Picha 5 za Kigoma All Stars wakiwa Mombasa


  DSC_0085Inaweza kuwa ni mara ya kwanza kwa wasanii kutoka Kigoma All Stars kufanya show ya pamoja Mombasa,Show hii ni moja kati ya tour ya Kigoma All stars waliyoipa jina la Lekadutigite East African and Drc Congo for Peace Tour.

0 comments:

SOMA HAPA HII NI BAADA YA KUZUSHIWA SASA RAY AFUNGUKA NA KUSEMA "MNIACHE CHUCHU NI MKE WANGU"

 

0 comments:

Copyright © 2012 KARINGA NEWS Tz