UNAAMBIWA JOHARI AMWAGA MACHOZI LIVE NI BAADA YA RAY NA CHUCHU KUZIDISHA MAPENZI MOTO MOTO MPK JOTO LINAONA WIVU:
Hot news is that staa ray the great leo kupitia mitandao ya jamii
alizungumza kuwa anampenda sana chuchu hans, na hakuna atakayeweza
kuwatenganisha, na kwa kuliaprove hilo ndipo alipoamua kuweka picha hii
yapo juu ikiwa ni ishara ya mahaba na upendo kwao.
0 comments: