ISHU YA MKATABA WA RICK ROSS NA REEBOK KUKATISHWA TAARIFA NI KWAMBA BADO INAENDELEA
Wakati kundi la kutetea
Wanawake la Ultra Violet likisherehekea uamuzi wa kampuni ya Reebok
kusitisha mkataba wake na rapper Rick Ross kutokana na mashairi yake
kuonekana yakisifia ubakaji, baadhi ya watu walio kwenye timu ya Rick
Ross wameonekana kukerwa na uamuzi wa kampuni ya Reebok.
Japo Rick Ross mwenyewe hajaongea chochote mpaka sasa, rapper Meek Mill ambae yuko chini ya Maybach Music ya Rozay amelianzisha baada ya kuidiss Reebok kwa kusema lebo ya viatu vyao ni sawa na FILA, yani lebo ya kizamani.

0 comments: