Wananchi mkoani Arusha wametakiwa kuwa na uhuru wa kuteuwa na kawatumbua watu wanatakiwa kufanya doria ya ulinzi shirikishi katika mitaa yao nyakati za usiku. Akuzungumza na waandishi wa habari msaidizi wa mkuu wa kitengo cha polisi jamii mkoani Arusha Ndg.Yona Maziba amesema kuwa ili kuepukan na makundi ya watu wanaoigiza kuwa ni polisi jamii na kumbe ni vibaka wanaotumia fursa hiyo kuwateka wakazi wa mtaa husika na kuwachukulia vitu vyao pindi wanapo nyumbani nyakati za usiku. Amesema pamoja na kutoa semina kwa makamanda waandamizi wa ulinzi shirikishi lakini bado wanakabiliwa na makundi yasiyo sahihi na teule kwa kufanya shughuli hiyo na ndiyo maana hali hiyo inawawia vigumu wao wenye kutambua ni makundi ya aina gani yanajishughulisha na utekaji na kuigiza wao kama polisi jamii. Pia ameongeza kuwa kila mwananchi anatakiwa kuwa na uhuru wa kuhoji makundi ya namna hiyo kuwa kama wana vitambulisho vyenye kuonyeasha wao ni akina nani kwani huwa kuna mavazi maalumu wanayovaa kwaajili ya lindo. Kamanda Yona ameongeza kuwa uzalendo ni fursa yetu binafsi hivyo katika hilo inahitajika wananchi kuwa wazalendo kwani unapo kuwa mzalendo na nchi pia hata na mtaa wakon ni dhahiri kuwa utajilinda na kuulinda mtaa wako na nchi yako kwa ujumla kwa kufichua watu wanaojihusisha na tabia hizo za utekaji na uporaji wa mali za watu ili waweze kufikishwa mahali husika na kupewa adhabu stahiki.



Ulinzi Shirikishi
Wananchi mkoani Arusha wametakiwa kuwa na uhuru wa kuteuwa na kawatumbua watu wanatakiwa kufanya doria ya ulinzi shirikishi katika mitaa yao nyakati za usiku.
Akuzungumza na waandishi wa habari msaidizi wa mkuu wa kitengo cha polisi jamii mkoani Arusha Ndg.Yona Maziba amesema kuwa ili kuepukan na makundi ya watu wanaoigiza kuwa ni polisi jamii na kumbe ni vibaka wanaotumia fursa hiyo kuwateka wakazi wa mtaa husika na kuwachukulia vitu vyao pindi wanapo nyumbani nyakati za usiku.
Amesema pamoja na kutoa semina kwa makamanda waandamizi wa ulinzi shirikishi lakini bado wanakabiliwa na makundi yasiyo sahihi na teule kwa kufanya shughuli hiyo na ndiyo maana hali hiyo inawawia vigumu wao wenye kutambua ni makundi ya aina gani yanajishughulisha na utekaji na kuigiza wao kama polisi jamii.
Pia ameongeza kuwa kila mwananchi anatakiwa kuwa na uhuru wa kuhoji makundi ya namna hiyo kuwa kama wana vitambulisho vyenye kuonyeasha wao ni akina nani kwani huwa kuna mavazi maalumu wanayovaa kwaajili ya lindo.
Kamanda Yona ameongeza kuwa uzalendo ni fursa yetu binafsi hivyo katika hilo inahitajika wananchi kuwa wazalendo kwani unapo kuwa mzalendo na nchi pia hata na mtaa wakon ni dhahiri kuwa utajilinda na kuulinda mtaa wako na nchi yako kwa ujumla kwa kufichua watu wanaojihusisha na tabia hizo za utekaji na uporaji wa mali za watu ili waweze kufikishwa mahali husika na kupewa adhabu stahiki .

0 comments:

Copyright © 2012 KARINGA NEWS Tz