Pichani ni katibu wa mbunge wa Arusha mjini ndg.Gabrieli lukas ambae kama unavyo muona ni miongoni mwa waanga wa kitu kilicho sakika kuwa ni bomu lililo rushwa kwa mkono jana |
mkuu wa mkoa akipokea taarifa fupi ya hali ya mgonjwa akiwa ktika chumba maalumu cha upasuaji ktk hospitali ya selisni jijini arusha |

0 comments: