"DALA DALA NDIO SABABU YA BARABARA KUCHELEWA KUKAMILIKA"
Pia wamesema kuawa pamoja na ulinzi ulio wekwa wa kuzuia madereva hao wa magari madogo ya abiria bado walinzi hao wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ngumu mpaka kupelekea walinzi hao kupigwa makofi kwa kitendoa tu cha kuwazuia wao kupitisha magria hayo
Hivyo wakandarasi hao wameiomba serekali kuliangalia swala hili ili kuweza kuwasaidia wao kumaliza kazi hio kwa wakati pia walisema pamoja na kukumbana na changamoto hiyo ya magari hata maji yanayo tiririshwa kutoka maeneo hayo ya mjengo ya juu
ANGALIA HAPA PICHA. HIKI NDIO KIWNGO KILICHO FIKIA BARABARA HII YA MAJENGO
0 comments: