TAZAMA PICHA NA VIDEO YALIYOJIRI KWAENYE UZINDUZI WA VIDEO YA JUX IKIAMBATAN NA BARTDAY YAKE:
Usiku
wa Jumapili ndani ya Cluub Bilicanas @Juma_Jux alizindua video yake ya
“Uzuri wako”. Show hiyo iliyokuwa na idadi kubwa ya watu, ilienda
pamoja na kusherekea birthday yake. Mambo yote yalikuwa kama hivi.
0 comments: