UJUMBE ALIYO ANDIKA AGNESS MASOGANGE FACEBOOK WAZUA MASWALI..JE KAACHIWA HURU?
Hii ni post aliyoiweka Agnes Masogange kwenye ukurasa wake wa FB na imeanza kusambaa kwa kasi kupitia wasanii mbalimbali na mm nimeinasa kwa boss ngasa blog:
Je yawezekana wametoka?Au ndio zile fununu kuwa wanapiganiwa kesi yao irejee nchini?
Tungoje kama ni kweli ama uzushi
0 comments: