Picha 5 za Kigoma All Stars wakiwa Mombasa
Inaweza
kuwa ni mara ya kwanza kwa wasanii kutoka Kigoma All Stars kufanya show
ya pamoja Mombasa,Show hii ni moja kati ya tour ya Kigoma All stars
waliyoipa jina la Lekadutigite East African and Drc Congo for Peace
Tour.
Wasanii ambao watakuepo ni pamoja na Abdul Kiba,Mwasiti,Recho,Queen
Darlin,Maunda zoro,Chegge,Ommy Dimpoz,Diamond Platnumz na wasanii
wengine.
Show hii inafanyika pemben mwa fukwe za bahari ya hindi Sehemu inaitwa Big Tree Beach.
jukwaa likiwa katika hatua za mwisho
0 comments: