HILI NDO VAZI LA KIKE LIVALIWALO BILA NGUO YA NDANI
Fashion na staili mbali mbali za mavazi siku hizi zimekuwa ni hatari kidogo, angalia vazi hili ambalo sehemu yake kubwa ni mwili wa mtu aliyevaa vazi hilo na pia huvaliwa bila chupi ili kuleta mvuto zaidi. HATARI SANA..
0 comments: