ANGALIA BAADHI YA PICHA KWA WASANII WALIO IWAKILISHA ARUSHA KATIKA KILI MUSIC AWARD BAADA YA KUTUA ARUSHA JANA KATIKA VIWANJA VYA NDEGE JIJINI HAPO
Akiwa ameshikilia award mbele ni msanii kutoka warrious na nyuma ni odinalli kutoka jambo squred baada ya kushuka na ndege Airport wakitokea Dar es salam |
hawa ni dogo janja kulia akiwa na ledy fire{ Nomi}wakitokea maeneo ya airport arusha kuwapokea jambo squred pamoja na warriours |
moja kati ya wawakilishi wa ragge music kutoka Arusha akituwa Arusha airport na award kwa mara nyingine |
Dogo janja na ledy fire wakiwa viwanja vya ndege Arusha katika picha kulia ni director wa blog ya massackymedia.blogspot.com |
msanii wa jambo squred {odinalli}akitua A town na furaha isio na mfano |
Akiwa ameshikilia award mbele ni msanii kutoka warrious na nyuma ni odinalli kutoka jambo squred baada ya kushuka na ndege Airport wakitokea Dar es salam |
wasanii hao wakielekea kwenye tax baada ya kushuka kwenye ndege |
hao ni jambo squred,warriours,dogo janja,ledy fire katikati ni peter massacky mmiliki wa blog ya massackymedia.blogspot.com |
akipewa ongera ni odinalli ktk jambo squired |
Jambo squired baada kutua A town hapo jana nakilamba award walio ipata kupitia wimbo wao wa tukunyema katika categor ya kikundi bora cha music |
katika picha wasanii hao wakiwa ktk furaha kwa walicho kifanya |
Jambo squired na warriours wakijaribu kuwaonyesha watu wa Arusha kuwa hata wao wakipata sapoti kw mashabiki wana mengi na si hayo tu |
0 comments: