.
Rapper Mtanzania Wakazi ambae ndio amechaguliwa na Multichoice kwenda
kufanya show kwenye stage ya shindano la Big Brother Africa 2013
Johannesburg South Africa jumapili July 7, tayari ameondoka Dar es
salaam Tanzania saa tisa kasoro alasiri.
.
.
.
.
.
.
0 comments: