ANGALIA BAADHI YA PICHA ZA NYUMBA ZA ASISILI ILIOJENGWA KWA UDONGO WA KUKANDIKA KIUTAALAMU ZAIDI MTINDO WA NYUMBA HII UNAITWA DOMU HOURSE UTAALAMU HUU NAPATIKANA KATIKA KAMPUNI YA OMALA INTERPRISES MAJENGO ARUSHA PIA NI WATAALAMU WA KUUNDA MITAMBO YA BAYOGESI NA MAJIKO YA BAYOGESI ILIOTENGENEZWA KWA MATOFALI YA KUCHOMA NA GHOROFA ZA AINA YAKE OVENA ZA KUWOKEA MIKATE AMBA ZINA BEBEKA KIURAHISI ENDELEA KUFUATILIA BLOG HII TUTAANZA KUTANGAZA RASMI


hii ni nembo iliotengezwa kwa udongo
http://elkecole.com/wp-content/uploads/2012/09/view-from-hill-.jpg
hii ndio nyumba kamili kwa njee

0 comments:

Copyright © 2012 KARINGA NEWS Tz