UHABA WA MAJI WALIKABILI ENEO LA KW MOROMBO JIJINI ARUSHA ;WAAMIA KWENYE VISIMA VYENYE FLO
Wakazi wananao ishi eneo la kwa morombo jijini arusha wako hatarini kukumbwa na na magonjwa ya milipuko kutokana na kutumia maji yasio sala ma
Msemaji ambae pia ni mwenyekiti wa kata orkarian bwana lairumbe mmuru ameiomba serikali kuitazama kwa mara nyingine kwani tatizi hili limekuwa sugu na wasipo litatua magonjwa ya milipuko yapo njiani kulikumba eneo hilo kwani watu hutumia maji hayo kwa kunywa na visima sio salama
Pia ametaja maeneo yalioathirika zaidi kuwa ni misikiti miwili, kwa morombo sokoni ,machwa, na maeneo ya dampo la kwa mrombo
0 comments: