HIVI UNAJUA KWAMBA NANDO WA BIG BROTHER AWA MPAMBE WA WEMA SEPETU
Siku Wema Alipoenda kufanya Timbwili
kwenye Ofisi za Magazeti Maarufu Bongo Global Publishers Aliongozana na
Baadhi ya Wapambe wake Ambao mmoja wapo alikuwa ni Mshiriki wa Big
Brother Africa Aliyeiwakilisha Bongo Mwaka Jana anayejulikana kama Ammy
Nando ...Kama anavyoonekana kwenye picha hapo alikuwa anajificha
asipigwe picha na waandishi habari nje za ofisi za Global
Publishers....Najiuliza na yeye Amefuata mkumbo wa Kina Petit na Martin
Kadinda ?
0 comments: