
New
Maisha Club ndiyo Club pekee Tanzania iliyofanikiwa kuwa na matawi
mengi mikoani ukitoa Dar es salaam ambayo ndiko ilikoanza,kwa sasa New
Maisha Club ipo Morogoro,Mtwara,Dodoma na Mbeya ambapo kuna baaadhi ya
party hufanyika siku moja kupitia club zote hizi.

New
Maisha Club 87.8 Mbeya Jumapili ya April 06 Kutakua na usiku wa vyuo
ambao utasindikizwa na Roma Mkatoliki huko Roma ataenda pia kuzindua
wimbo wake mpya wa K.K.K

New
Maisha Club 88.5 Morogoro Jumapili April 06 kutakua na Shilole utakua
ni uzinduzi wa video ya Chuna Buzi ambapo kwa Shilole atasindikizwa na
Nuh Mziwanda na Darasa.

New Maisha Club 88.4 Mtwara April 06 kutakuwa na Mirror kwenye Mirro’s Night upande wake atakua na Jordan da Prince.

New
Maisha Club Dar es salaam 88.5 kutakua na uzinduzi wa wimbo wa Agaba wa
Suma Mnazaleth ambaye atasindikizwa na
Stamina,Cyril,Tash&Juru,Mabeste,Water
Chilambo,Darasa,Messen&Defatality Team.
0 comments: